Recent content by Glladiaterjuma

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa kituo cha kazi baada ya kuhama

    Jamani mm ni mtumishi niliyehamia wilaya ya wanging'ombe bila exchange na mtu yoyote lakini maafisa elimu msingi wa pale hawtaki ueleze chochote wanafosi kukupanga wao hivi nimepanhiwa ndani ambako hadi kufika napopahitaji nauli ya boda boda ni elf 25000 hadi nimeamua bora nirudi tu nilikotoka...
Back
Top Bottom