Recent content by gladys

  1. G

    Ni kweli asali na limao vinafanya iwe 'ndogo'?

    Kutaiti kwa hiy nonino yako ni wewe mwenyewe dada yangu mtu asikueleze chochote. Asali paka kwenye mkate na limao kwenye kachumbari.
  2. G

    Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

    Ooh jamani huyu muuaji Mungu amemsahau wapi??? Poleni wafiwa na Mungu awafariji katika kipindi hiki kigumu!!!
  3. G

    Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

    Pole sana dada yangu, ukisikia mapito ndio hayo. Huyo bwana ameshindikana ikiwezekana achana naye maana amekufanya wewe ni chombo chake cha starehe wala hana mapenzi yoyote na wewe. Alaaniwe katika Jina Yesu wa Nazareti aliye Hai. Amen
Back
Top Bottom