Aisee mambo ya sikonzi kwa chai! Maisha yanasonga ingawa wanasambukile wengine baada ya pale ikawa ndiyo mwanzo wa kuharibikiwa na mpaka leo wanaishi maisha ya taabu,wengine tulikomaa hivyo hivyo hadi kuvaa majoho maisha yanasonga.
Áisee! Umenikumbusha mbali enzi za mzungu mweusi Igosha,Bwawani,Nyanchenche,Ibisabageni unamkumbuka mwalimu wa scout Willy, Sister Laura mwalimu wa Mathematics A-level, mimi nilikuwa bweni la Mirambo tukishamaliza kula chakula cha jioni mnachukua mpira wa basket hapo hapo uwanjani mnaunganisha...
Kulikuwa na mshikaji anaitwa George "BONGE" Alikuwa maarufu kwa kumeza mizigo kama ilivyo.Gupta kuna mtu anamkumbuka? nakumbuka aliingia mitini wakati wa NECTA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.