Habari wanajamvi.
Kuna kazi ningependa kuomba, inameet qualification zangu kabisa + career development naona itakuwa vizuri endapo ntaipata.
Tatizo liko moja tu, kwenye level ya mshahara. Mshahara waliotaja uko chini kwa zaidi ya laki tano kwa huu naopata sasa. Najiuliza je niombe hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.