Recent content by Gitubaya

  1. Gitubaya

    Spika Ndugai: CHADEMA wakileta wale wale wakakataliwa tutabadili kanuni tuwape wengine

    Mm kwa ushauri wangu, CHADEMA waongeze idadi ya wagombea ambao wako very active kama hao wanaokataliwa maana nafahamu wako vijana wengi sana watakaoisaidia chama hiki kuwa na nguvu kuliko vyama vengine.
  2. Gitubaya

    Watumishi wa umma kutopanda vyeo/madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu

    Hapa maana yake ni kwamba mkiitisha tu mgomo, utafutwa kazi, halafu kuajiriwa wengine kwan wako wengi wamejaa mtaani!
  3. Gitubaya

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Bashite bana, kelele nyingiii! Kumbe defensive mechanism ya vyeti! Mm hapa nilipo nipo kijijini kabisa Yaani, mpaka people's wa rural areas wameishiwa pozi kwa kinachoendelea, juu ya huyu Bashite, mwenyewe nipo kijijini cha Kidanay!
  4. Gitubaya

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Ila ngoja tusubiri, huwezi kujua Mukulu ni kama anamchekea lakini usije kushangaa kamtumbua saa six ucku! Unajua mtu uliyemwamini asilimia Mia, yataka moyo sana kumtoa Lazima atajipa Muda kumwondoa, najua Muda wowote atamtumbua kwa jinsi Mkulu, siyo kweli kwamba kampotezea, nakumbuka kauli zake...
  5. Gitubaya

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Do you remember the statement which state that, the problem can not be solved by the people who are the same level of thinking? This was what we happened in our country, my question is, whom one will be responsible to rescue the situation which we have in our Nation (Tanzania)?
  6. Gitubaya

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Mwanzo wa sifa nyingi aibuuuu! Kama ningekuwa mm ningejiondoa mwenyewe, yaani mashambulizi yote haya what I,m I waiting for? Ningesepa kitambooo?
  7. Gitubaya

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Na bado mana kazoea tabia ya kuudhi watz, mm natamani angetumbuliwa leo, hivi mkulu a nasubiri nn jamani?
Back
Top Bottom