Mimi vitalia magogwa,mwalimu wa sekondari mhalule halmashauri ya songea,natafuta mwalimu wa kubadilishana naye toka wilaya ya kilosa morogoro . Wasiliana nami kwa namba 0753359278
Mimi gishuli, benard washingtone wa halmashauri ya tunduru ninatafuta afisa mifugo wa kubadilishana naye toka mikoa ya shinyanga,geita,simiyu, mwanza na tabora hususani wilaya ya nzega na igunga. Piga simu no. 0754931791,0683668452, 0714697086.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.