Recent content by Gishi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

    Hata mm suara la mgombea mmoja Bado Nina mashaka nalo. Yaan kura zipigwe za ndio au hapana wakati hakuna mawakala wa vyama vingine vya siasa unafikili Kuna uhalali hapo?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Habari wana jukwaa, Binafsi wiki hii ya maazimisho ya mapinduzi Zanzibar kuna maswari mengi nmejiuliza juu ya muungano wetu. Nikajiuliza kuwa Rais Maghufuli ni amiri jeshi mkuu wa Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) uwepo wake yeye alitakiw awe mgeni rasimi na apigiwe mizinga, lakn haikuwa hivyo...
  3. G

    JamiiForums Tanzania CCM ijifunze kwa Mwambe, Wamuachie Membe agombee!

    CCM acheni uboya yaan kila siku mnahoji uhalali wa mbowe kuwa mwenyekiti mnashindwa kuhoji mwenyekiti wenu anapatkanaje! Hya 2021 uchaguzi wa mwenyekiti je kunamt anaruhusiwa kuchukua form tofaut na aliyepo! Ndo ujue kuwa CCM co chama cha wananchi Bali cha kulisishana madalaka. Na kinachofanyika...
  4. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Fahari ya mzee ni mvi zake na fahari ya kijana ni nguvu zake. Yeye kashindwa kutumia hekima na marifa ake badala ameamua kutumia madaraka ake kugandamiza wengine ili yeye apate shiba. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mwambe ulichemka tangu siku ya kwanza tu ulipoonyesha nia ya kuwania uenyekiti

    Tumechoka kutumiwa makabulu kutulagai, sasa tuko macho sio kawaida. Hakuna salia La ccm litakalo ingia kamati kuu. Tulikosea sana kuwaweka Sumayi na lowasa kuwa wajumbe kamati kuu maana walivujisha mikakati. Sumayi alipojua kuwa wamemgundua alichomoka na huyu mwambe achomoke tu. Au wamhoji kwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mwambe ulichemka tangu siku ya kwanza tu ulipoonyesha nia ya kuwania uenyekiti

    Mwambe nilikuwa nakuamini sana tangu ulipochaguliwa kuwa mbunge na michango ako ilivyokuwa ndani ya bunge nikafikiria kuwa wewe ni jembe na utakuja uwe nguzo imara ndani ya chama. Lakini siku tu ulipochukua form na kuongea kupitia vyombo vya habari ndo nikajua kuwa wewe ni nani ndani ya chama...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

    Ni ukweli mtupu, yeye ndo hajitambui maana huwezi shikwa mdomo kwa kutiahiwa kubambikwa kesi halafu unaanza kutapatapa bila kujua unaowatetea wana langi gani. Pascal Mayala nafasi za uteuz zmejaa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

    Njaa znasumbua sana watu. Hvi kweli mtu unajisema wewe #Mayala huna chama wakati tunakujua tayari uko na vazi la kijani! Chadema hawajawahi Fanya ujinga huo mpaka Leo hawana mbadala wa mbowe labda angekuwa tundu lisu ndo tinge amini ni kiongozi kweli mbadala wake, mwambe ni mzuri lakni co kwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania "Wasiojulikana" wamepunguzwa kasi au ndio tuseme siku hizi kimeeleweka?

    Mungu ni mkubwa kuliko hata wao. Tusubili time will tell Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom