Recent content by Giovanna Upunda

  1. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Ndio maana nipo hapa ili mniambie ni kitu gani anachokifanya huyu bwana Jela kikawa na maana kwa Taifa hili zaidi ya kutumika kama kibaraka na wazungu tena wale wanaotaka kuiba mali zetu kutumia njia ya machafuko ya kisiasa tena kwa kumtumia huyo bwana Jela?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Nataka kufahamu ni nani aneteka watu? je ni nani alibambikiwa kesi?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Nimekuuliza ili unithibitishie hao wanaotekwa wanatekwa na nani?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Lazima mitazamo itofautiane maana wapo watu pia wasiokuwa na imani na Bwana Jela anaetumika na Wazungu kama kibaraka wao.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Ulishawasikia wakihamasisha vurugu?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Binafsi nimeshindwa kumuelewa huyo.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Sio huyu ambae familia yake ipo nje?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Katika siasa, kuna nafasi ya mjadala. Kuna nafasi ya upinzani wa hoja. Na kuna nafasi pia ya kuchochea taharuki isiyo na majibu jambo ambalo linaweza kugharimu maisha ya watu wasiokuwa na hatia. Miezi kadhaa iliyopita, Tundu Antipas Lissu mmoja wa viongozi wakuu wa upinzani kupitia chama cha...
  9. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa TRA Dar una habari na manyanyaso yanayofanywa na staff wao kwa wateja wanapotembelea matawi yao kupata huduma?

    Ni jambo la kusikitisha kuona taasisi ya umma ikichafuliwa kwa maneno ya kubuni bila ushahidi wowote. Tunapinga vikali aina hii ya uandishi usiozingatia ukweli wala maadili. Maendeleo ya jamii yanahitaji taarifa za kweli, si propaganda zinazolenga kuchafua sura ya taasisi zetu.
Back
Top Bottom