Recent content by Ginnah

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

    Nimebahatisha. Asante
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

    Nimempata kupitia hapa hapa Jf, ana degree mbili, anaishi huku huku Geita. Tunaendelea vema.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

    Nimempata, nae anaishi huku huku Geita.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

    Thank you Lateni.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Vipi dada, umefanikiwa kumpata?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Salamu Great Thinkers

    Karibu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Realy.

    Karibu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hello

    Karibu.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

    Habari wana JF! Mimi ni binti wa miaka 29, makazi yangu ni Geita, kabila langu ni Mkerewe, dini yangu ni Mkristo, nina elimu ya chuo kikuu, ni muajiriwa wa kampuni moja hapa Geita. Kwa muonekano, nina rangi ya maji kunde, ni mrefu (176 cm), na nina umbo la wastani. Mwanaume ninayemuhitaji...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi humu ndani!!

    Habari wana Jf. Naomba mnikaribishe mimi mgeni wenu.
Back
Top Bottom