Recent content by gimanini

 1. gimanini

  Kesi ya Mbowe Serikali imeingia kwenye mtego huu iuepuke mapema

  Haya Mambo kayaasisi mwendazake maana ilikuwa tabia yake ya uonevu kwa wapinzani,hivo Ni lazima Mbowe ataumia tu.
 2. gimanini

  Kesi ya Mbowe: Mahakamani kunapozidi Kumong'onyoka

  Yupo wapi magufuri
 3. gimanini

  James Mbatia: Tuna viongozi mapunguani hapa Tanzania

  Msajiri Ni kada mwaminifu hawezi iumiza CCM
 4. gimanini

  Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

  Namhurumia Sana Mbowe
 5. gimanini

  CCM jifunzeni siasa za kistaarabu toka kwa majirani

  Kenya ni wanafiki tu wa kujumia tumbo.
 6. gimanini

  TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

  Hii ya Jaji Makungu imekaeje,amepanda cheo au kashushwa.au maandalizi ya kuwa jaji mkuu
 7. gimanini

  Rais Samia, sitisha uchoraji wa vibonzo mara moja

  Hebu CCM acheni uoga kubalini uwepo wa mawazo mbadala.
 8. gimanini

  Walimu: Rais Samia atatuponya madonda

  Walimu hawajitambui
 9. gimanini

  Kingamuzi bora ni kipi? DSTV, AZAM, STAR TIMES, ZUKU

  Azam wako poa japo kuunganishwa ndo shida,Bei ipo juu sana
 10. gimanini

  Jeshi la Polisi lawashikiria wanachama BAWACHA walokuwa wanafanya mazoezi ya viungo (jogging)

  Polisi wetu uelewa wao upo hivo msiwalaumu jamani.
Top Bottom