Habari zenu wapendwa. Samahani Nina changamoto kwenye kubook training, inaniandikia no data na nilishapata registration namba, na pia kwenye dashboard yangu upande wa taesa training inaniandikia (pending). Sijui kama ni Mimi tu Mwenye hii shida au.. Mwenye kujua shida ni nini atuelekeze tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.