Recent content by Gilly albert

  1. G

    The road towards 2010 Elections

    Mimi naona kuna umuhimu wa Rais Kikwete kupata mpinzani kutoka ndani ya chama ili kumpa changamoto na kuimarisha demokrasia. Upinzani pia utamwongezea yeye ari ya kufanya kazi na ili kuwaonyesha Watanzania kama anaweza kupewa dhamana ya kuwaongoza tena.
Back
Top Bottom