Mnamo tarehe 16 Mei 2025, Jiji la Tanga limeandika historia kwa kuzindua miradi minne mikubwa ya maendeleo ya vijana chini ya Programu ya TangaYetu Awamu ya Pili. Uzinduzi huu umefanyika katika Hoteli ya Regal Naviera na kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 180 wakiwemo viongozi wa serikali...
Mimi nilipita Kibaha jioni na umeme ulikuwepo kama ni issue ya mgao ulianza baada ya saa za kazi. Nimekuwa mteja wa muda mrefu wa benki hii tangu ilipokuwa Tanzania Postal Benki, hadi walipoungana na Twiga na Benki ya wanawake TWB na imefanya mabadiliko makubwa sana katika utendaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.