Riwaya: Maiti 15 tu Nitafurahi Tena
Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi
WhatsApp: +255765824715
Hii ni Sehemu ya 05
"Hata maji mpendwa?" Mama Atu akageuka na kuuliza. Lakini jicho alilotazamwa na Inspekta Jasmine likamfanya arejee na kukaa. Amani iliyokuwa imemtawala ikapungua kiasi, woga...
Riwaya: Maiti 15 tu Nitafurahi Tena
Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi
WhatsApp: +255765824715
Hii ni Sehemu ya 04
"Kwani ilikuwaje Gilbert?" Bwana Elius Benjamin aliuliza. Ndipo Gilbert Mwaitika akamwelezea kuanzia walipotoka kanisani hadi kufikia Kicheko Restaurant.
Wote walishangaa...
Riwaya: NIRUDISHIENI MWILI WANGU
Imeandikwa na GILBERT EVARIST MUSHI
Phone: +255765824715
Tulipoishia...
"Marahaba mwanangu, hujambo? Nilijua tu hii taarifa ni ya kipuuzi nimepewa. Wewe ni jembe langu huwezi kuniacha kirahisi hivi. Ishi sana mwanangu maisha marefu. Nimeambiwa umepata ajali ya...
Riwaya: NIRUDISHIENI MWILI WANGU
Mwandishi: GILBERT EVARIST MUSHI
Phone: +255765824715
UTANGULIZI
Nilikuwa nikijitahidi kuchochea pedali katika baiskeli yangu ili baiskeli ikimbie zaidi ya ikimbiavyo, japokuwa ulikuwa ni mteremko mkali mbele yangu na baiskeli ilikuwa katika mwendo mkali lakini...
Riwaya: Maiti 15 tu Nitafurahi Tena
Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi
WhatsApp: +255765824715
Hii ni Sehemu ya 03
Wakati huohuo Inspekta Jasmine pamoja na Gilbert Mwaitika walikuwa wakisogea karibu na pale alipo Bi Sandra.
"Inspekta Jasmine kile nini pale?" Gilbert aliuliza.
"Kama mtu...
Riwaya: Maiti 15 tu Nitafurahi Tena
Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi
WhatsApp: +255765824715
Hii ni Sehemu ya 02
"Bado sijakupata vizuri. Kwahiyo muuaji ametumia njia hii kwa sababu anaonekana ni dhaifu? Sasa kwanini awe mwanamke wakati hata mwanaume ambaye ni kilema anaweza kuwa dhaifu?"...
MAITI 15 TU NITAFURAHI TENA
Inspekta Jasmine anamsaka Muuaji anayezidi kuteketeza roho za wanakijiji wa Kishumundu. Cha kushangaza ni kwamba Bi Sandra kabla ya kupoteza maisha alidai kwamba Jasmine amerudi, na bila shaka ndiye anayewamaliza.
Kama haitoshi mpelelezi Gilbert Mwaitika anajikuta...
Riwaya: Maiti 15 tu Nitafurahi Tena
Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi
WhatsApp: +255765824715
Hii ni Sehemu ya 01
SURA YA KWANZA
Zimepita takribani dakika 15 tangu awasili ndani ya ofisi yake. Ofisi ndogo tu iliyoweza kuendana na cheo chake cha uinspekta wa jeshi la polisi. Ameketi juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.