Recent content by Gilbert simon

  1. G

    The power of the Bahima Empire

    Kwa ushauri tu hawa jamaa wana long plan ya political influence ya kutawala Eneo zima sio wakufumbia macho over
  2. G

    KDF yashindwa kuwafukuza M23 huko DRC, Rais wa DRC achukizwa kwa udhaifu wa KDF

    Nathani sasa mheshimiwa kenyatta umeona ni namna gani kagame amekudharirisha kupitia jeshi lako kama amiri jeshi mkuu mstaafu uliekaa meza moja na Pk the man of full of trick kesha kuzunguka na kukufedhehesha yajayo yanafurahishwa
  3. G

    KDF yashindwa kuwafukuza M23 huko DRC, Rais wa DRC achukizwa kwa udhaifu wa KDF

    Wanachama pia wanawajua ukienda nao kwa kazi wanawaza dil tu anaweza kuuza hata wewe na uko kwa gari yako ni wakati sasa mr president ufanye judgement sahihi hapo huna jeshi maana wakiingia na silaha zao mpya zitachukuliwa zooote
  4. G

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    We hukujua walienda training 8 years then wamecome back na ndo maana kenya wazee wakuji ita supper power ya EAC wakaomba dill kumbe hamna kitu
  5. G

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Kivipi mzee toa facts kama hapo kagame kesha mzunguka kenyatta na Ruto wake unategemea Brigedia atafanya nini
  6. G

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Ukimsikia kagame utamuonea huruma utafikiri sio yeye keshamzunguka mkenya tayar
  7. G

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Congo watawageuka muda utaongea kwakua tegemeo la congo kwa jeshi la africa mashariki sio hili linaonekana ktk media
  8. G

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    RDF Sent 500 troops to support m23 what doesnt mean broo
  9. G

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Kweli kabisa niliwaeleza watu kua kagame atamzunguka kenyatta na kuna mambo mawili tu ya kenya kujirekebisha hapa 1. Kenya kutekeleza hitajio la congo kuwapiga waasi2. Kenya kisaliti congo na kuungana na kagame kuipiga danadana congo kama kinachoendelea sasa ambao ni ushindi kwa waasi na kero...
  10. G

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Hapana broo congo wanataka kuona hakuna kundi linalokua tishio kwa usalama wake kwa kuacha kujihusisha na vita vinavyoirudisha nyuma kimaendeleo huku upande mwingine waasi wakichafua hali ya hewa kwa vita ili wapore mali za congo kwa msaada wa rwanda na uganda zinanufaika sana na hivi vita congo...
  11. G

    Kenya imeiacha Tanzania parefu sana kimaendeleo, shida ni nini?

    Okay sahihisho hapo ni kenya ni $114 bn na tz $ 76.8 bn this is a big gap tujitahidi sana watz pia tumeisaha sana western reginon ambako kuna fulsa nyingi za kuinua uchumi na hasa usafirishaji
  12. G

    Kenya imeiacha Tanzania parefu sana kimaendeleo, shida ni nini?

    Wewe ndugu yangu nimekukubali watu wa nje ya tanzania wanaona fulsa za uchumi wetu kupaa like plane hivi ila walioko huku hawaoni najiuliza 5th prezident hivi vitu alitoawaga wapi;msemo wa one day tanzania could be a donner country like those which donates
  13. G

    Kenya imeiacha Tanzania parefu sana kimaendeleo, shida ni nini?

    Kenya nawakubali asee you tells facts kazi kwetu watanzania kurekebisha hizo mapungufu pia tunapeana tu kazi kwenye sehemu nyeti za kiuchumi bila kuangalia weledi wa mtu kuna watu positivity na negativity huwezi kumpatia mtu wizara ambaye mawazo yake ni kuifirisi badala ya kuiendeleza ukategemea...
Back
Top Bottom