Recent content by Gilbert Gennes

  1. Gilbert Gennes

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Leo kuna rafiki yangu kaja kunitembelea gheto nilipopanga ananiuliza mapa sasa ni hatua gani umepiga nikamjibu kwani wewe mpaka kufika hapa umepiga hatua nagp Cpendagi maswali ya ajaubu kabisa
  2. Gilbert Gennes

    Tetesi kwenye mitandao

    Hehehe wazee walisema akili ni nyele ila hawaja sema ni zawapi pendine hata ni za kwapa
  3. Gilbert Gennes

    Tetesi kwenye mitandao

    Kumbe sms zinaingia kuanzia jana nikasema vp tena ndio kuuana kimya kimya au vp
  4. Gilbert Gennes

    Tetesi kwenye mitandao

    TAHADHARI! Jihadhari usinywe dawa aina ya 'paracetamol' iliyoingia imeandikwa P/500. Ni dawa mpya, nyeupe sana na ni dawa inayong'aa sana: madaktari wanasema kwamba dawa hii ina virusi viitwavyo "Machupo" ambavyo vinaaminika kuwa ni virusi hatari kuliko vyote duniani vinavyoua kwa kasi kubwa...
Back
Top Bottom