Recent content by Gilbert A Massawe

  1. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Mafwele anaishi kwa Mashaka sana, Video zake akiwa Magufuli Stendi zinajieleza

    marekani ya tandale labda. Ndio RPC Kanda maalum huyo miezi 2 ijayo.
  2. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Kisheria mimi ni Mwenyekiti halali wa NCCR-Mageuzi

    odemba Odemba na Lissu hawana tofauti. Hawapendi kusikiliza wanapenda kuongea na kubishana
  3. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania CCM ndo wafadhili wakuu wa Miaka 30 ya Bongo Fleva, katika hili wamefanikiwa kuwanasa Watanganyika wajinga, Wamesaha Mauaji ya Oktoba 29 ya ndugu zao

    haha kataa pia kulipa kodi, susa kupanda gari , kununua bidhaa za wanaccm. Unakuta Hapo hela ya kula tu inakusumbua dogo
  4. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ameishiwa mbinu kabisa, sasa kashare idea ya watu kuandika jumbe kwenye vikaratasi na kuvitupa mitaani

    haha yeye aje atupe mbona rahisi sana🤣🤣🤣 Huyu demu amepagawa
  5. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Watumishi walionyooka bado wapo, mfano DCO wa Katavi. Yule Mhaya kanyooka sana

    stori za vijiweni tu hizo. im clean Man. nafaa kuwa Askofu nikirejea Tanzania
  6. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Watumishi walionyooka bado wapo, mfano DCO wa Katavi. Yule Mhaya kanyooka sana

    haha ushaokota sio? Kanyooka wap ! Motivation spika yule
  7. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Watumishi walionyooka bado wapo, mfano DCO wa Katavi. Yule Mhaya kanyooka sana

    sijui hiyo sumu uliwahi kupewa kila dk ni sumu tu
  8. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tundu Lisu hakutaka kabisa mwanasheria mkuu wa Chadema awe miongoni mwa mashahidi wake muhimu?

    sikurupuki dogo, Jibu swali. shida yako kubwa ni kihisi una akili kuzidi wengine kumbe kilaza tu. kitendo cha lissu kutomchagua yule babu ni alijua tu angepigwa KO kortini ... Mtu kujieleza tu ni tabu
  9. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Kabla Mama hajamaliza Mda wake kingai atapandishwa Cheo

    Kingai Mtu makini.
Back
Top Bottom