Recent content by giftally

  1. G

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu matunzo ya watoto

    G'taxi, Kaka hii hata haihusiani na kujibebesha mimba, ilikuwa relationship nzuri Tu ambayo labda haiishii vizuri, sidhani kama mtu anaweza kutegeshewa mimba za watoto wawili, ndoa pia zinavunjika tu mbona, hamna mtu kalazimishiwa watoto ndugu yangu.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu matunzo ya watoto

    Ndio maana tumeomba ushauri Kwa sababu hatuna uwezo na akili nyingi kama wewe ndugu yangu,no hard feelings
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu matunzo ya watoto

    Salama ndugu zangu, Naomba ushauri wa kisheria Kwa hili swala,dada yangu ni mama wa watoto 2,wakike na kiume,miaka 6 na 3,alikuwa kwenye uhusiano wa muda mrefu kidogo kama miaka 10+ lakini hakukua na ndoa. Kwa kifupi ni yale mahusiano ya on and off, mwishoe watoto wakahusika Mwaka Jana...
Back
Top Bottom