Recent content by Gift2015

  1. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa mizunguko ya kutafuta wadhani, Kampeni amewekeza na Afya yake

    Watu wengine hamuishi kushangaza, leo hii wewe ndio unajali afya yake kuliko yeye mwenyewe au familia yake? Watu kama nyie ndio mnaotuharibia sifa watanzania. Acha kuandika usioyajua!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    Nnatumai Nape anao ushahidi wa anayoyasema na kutuhumu watu. Kwamba watu wanaoenda dodoma wamelipwa na nani, kwa njia zipi na kwa sababu gani, la sivyo atakiaibisha chama kwa mara nyengine tena! Wananchi wameamua....acheni uzushi na uongo. Kwa nini mnawadhalilisha wananchi kiasi hiki? Waache...
Back
Top Bottom