Recent content by Gift1

  1. Gift1

    Unataka kufanya kazi zako Online ukiwa nyumbani? Soma hapa

    biashara gani ambayo unaweza kuifanya ukiwa nyumbani?
  2. Gift1

    Unataka kufanya kazi zako Online ukiwa nyumbani? Soma hapa

    Ni Mkopo Ni biashara gani ambayo unaweza kuifanya ukiwa nyumbani?
  3. Gift1

    Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Unaongea hivyo kwasababu haujabanwa kaka hizi taasisi za kifedha zinawapa mikopo hata watumishi ambao ndio wanaanza kazi wakati ma bank ni mpaka umalize mwaka mmoja na nusu au miwili kazini na pia mishahara mpaka ipitie kwao mimi nashauri hata ukikopa kwenye taasisi yoyote ile jitahidi uchukue...
  4. Gift1

    Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Mungu huwa hadili na mambo ya kaisali
  5. Gift1

    Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Mkopo unalipa riba kulingana na muda wa mkopo
  6. Gift1

    Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Riba zao sio 18% ni zaidi hii 18% wanaitumia kama blindness tu kwa watumishi
  7. Gift1

    Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Siku zote ukichukua mkopo na ukautumia kwa matumizi ambayo haya ifanyi ile hela uliyo ikopa kujizalisha basi ni lazima utaishia kuzilalamikia taasisi zote za kifedha watumishi nasi tuamke tuache kukopa tukiwa na matatizo tu au kujenga nyumba badalayake .tukope kwa lengo la kuikuza ile hela...
  8. Gift1

    Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato.

    M Hakuna kitu kama hicho kwenye maswala ya technology ya mawasiliano cha zaidi itapunguza wizi kwa wezi kuhofia kukamatwa
  9. Gift1

    Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato.

    Habari ya kazi wapambanaji wenzangu Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato katika mkoa niliopo kwani wengi hupotelewa na simu na kushindwa kuzipata hata wakienda polisi
  10. Gift1

    Naweza kui Reset password yangu ya kutolea salary slip kwenye mfumo wa hazina ikiwa nimeisahau E-mail?

    Tumia website ya hazina ambayo ni www.salaryslip.mof.go.tz then uta ingia Register
  11. Gift1

    Naweza kui Reset password yangu ya kutolea salary slip kwenye mfumo wa hazina ikiwa nimeisahau E-mail?

    Habari ya kazi wana Jamii Forum Ni jinsi gani naweza kui Reset password yangu ya kutolea salary slip kwenye mfumo wa hazina ikiwa nimeisahau Email yangu niliyo itumia kipindi najisajili? naomba msaada kwa anae elewa ndugu zangu
Back
Top Bottom