Tokea Marehemu Magufuli alivyosimamisha ajira kwa mkupuo kupisha zoez la uhakiki wa watumishi hewa zoez la ajira mpya serikalini lilisitishwa, katika utawala huu wa Mheshimiwa Samia , naona hasa katika ajira kama polisi, uhamiaji, magereza, zimamoto, takukuru na nyinginezo zinawatupa nje ya...
mwaka jana nilijaribu huku ila kama huna wa kukushika mkono hapa pccb acha , maana kuna ambao hawakufanya written interview ila majina yao yakatokea kwenye oral interview , hii ishu aliwahi iongelea jamaa anaitwa Abdul Nondo kwenye mambo yote yaliyotokeaga hapa , ila kujaribu sio dhambi
Mungu atupambanie tutoboe na sisi , miaka mitano kitaa sio kitoto , hadi unajiuliza ulimkosea nini Mungu, na muda unaenda , nikikumbuka gharama nilizotumia kuomba pccb hadi kwenda interview Dodoma , mtaji wangu wote nilipita nao , kuanzia nauli na malazi huna ndugu na bado nikala ndoige mpaka...
Mimi ni kijana wa kiume, umri miaka 30 , elimu degree ya ualimu , kwa sasa ni mfanyabiashara mdogo , natafuta mke wa kuoa kwa aliye serious anichek Pm. awe hana mtoto umri miaka 27, kushuka, dini sibagui, kwa sasa napatikana Katoro Geita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.