Recent content by gidion

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni, hivi mwalimu anaruhisiwa kujiunga na chama kingine cha walimu tofauti na CWT?

    Kisheria Mfanyakazi haruhusiwi kujiunga au kukatwa na chama cha wafanyakazi zaidi ya kimoja. Kwa hiyo Mwalimu atachagua Chama kimoja wapo.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Chama cha kutetea haki na masilahi ya walimu tanzania (CHAMWATA)

    Mkoani Singida CHAKAMWATA kimetambulishwa tangu mwaka 2015, uongozi wake Mkoani humo bado haujaimarika sana baada ya aliyekuwa Mratibu wa Mkoa kushinda kiti cha Ubunge kwa tiketi ya CCM, Jimbo la Singida Mjini, Mwalimu (Mheshimiwa) Musa Sima.
  3. G

Back
Top Bottom