Recent content by gide

  1. G

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Jamani vigogo msituone wananchi tumekuwa vilaza kihivyo mnaongea maranda tu bila kuwaza. Acheni tusikie wabunge wetu wakivunja sheria ili tuwahukumu vema wakati wa uchaguzi. Kaka mkiona hatujawahukumu mjue hoja hiyo ilibidi mbunge avunje kanune ili kuondoa madhara ya uchache bungeni. Tendeni...
  2. G

    Gari la serikali lapinduka likiwa na meno ya Tembo Manyara Kibaoni

    kwa hiyo mzee wa rula unsema hao majangili pia walitumia vioo vya serikali
  3. G

    Tanzania: Deni la taifa sasa lafikia Sh 22 trilioni! Waziri adai bado tunakopesheka...

    Sasa jamani wakuu mimi nachanganyikiwa yani trilioni 22 waziri anasema tunakopesheka na anakiri wanakopa benki za biashara yani kama wajasiriamali wadogo na rehani zinawekwa rasilimali zetu. Hii nyingine imenichekesha zaidi eti serikali ina pesa kama trillioni 4 wakati tunadaiwa 22 hii akili...
  4. G

    Tume ya Ngwilizi yawasafisha wabunge kuhusika na rushwa!

    kuna waziri alisema akipewa dakika tano bungeni awaombe radhi waliotuhumiwa ataongea mengi kuthibitisha tuhuma. Solution imekuwa asipewe dakika tano. Nchi inasonga mbele na tugange yajayo. Nimempenda hakimu wa hiyo kesi ila sioni kama ana nfasi nyingi zilizobaki kufanya maamuzi kama hayo kabla...
  5. G

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Jamani jamani nani ainusuru tanzania au tumelogwa na nani mbona hata haonyeshi wasiwasi kuwa amekosea au hapo ndani yake kuna dalili ya voda fasta. Wadau saidia fafanua zaidi
  6. G

    UVCCM kanda ya ziwa kuasi - haitambui matokeo ya uchaguzi uvccm sasa kuunda umoja mpya( UMVCCM)

    I dont believe this as it seems there are strong holders in ccm and can make anything they want to stay in power. Lets see, time is the best medicine for this
Back
Top Bottom