Recent content by gidaramy

  1. G

    Kuelekea matokeo ya form six, siri nzito yafichuka

    usitumie hisia za kusadikika kuwashawishi watu. Swala la chadema libaki kuwa mtazamo wako. Taaluma iache ibaki yenyewe. Ni kweli elimu imepoteza dira lakin chadema haiwezi kufanya lolote kwa sasa. Pendekeza njia za kuboresha elimu yetu kwa wakati wa sasa.
  2. G

    Proved: TBC1 haitarusha bunge live

    hayana maslahi kwa wamiliki
  3. G

    Proved: TBC1 haitarusha bunge live

    kweli!? Kutokuonesha bunge haisaidii kitu,ila watafute sababu ya ukaili wa wabunge. Taarifa si za bunge tu kwan za field ndiyo nzuri zaidi
Back
Top Bottom