### kwa wale ambao waliologwa###
Bible code number 09:- LENE MENE TEKELI MENE
Kazi yake;- kuondoa sumu ya kulogwa mwilini mwako
(Mathayo 26:26-28)
Kama umelogwa Mungu ataondoa sumu ya kulogwa iliyoko mwilini kwako na inayokutesa
Unaangalia kama sumu ya kulogwa ipo mwilini kwako pasipo kujua...
### kumlinda mke wako ###
Bible code number 22:- NENELI NENELI NENELI NENELI
Kazi yake;- kumlinda mke wako
(Mwanzo 20:1-14)
Dhidi ya nguvu ya fedha
Dhidi ya watu wenye fedha
Dhidi ya watu wenye mamlaka
UNATUMIAJE
Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu...
### kupata wateja kwenye biashara yako au kampuni unayofanyia kazi ###
Bible code number 143:- TERE MENE TERE TERE
Kazi yake;- kupata wateja kwenye biashara yako au kampuni unayofanyia kazi
(Luka 5:3-6, Yohana 21:6, Mwanzo 31:11-12)
UNATUMIAJE
Jina la biashara yako/sehemu unapofanyia...
*### Kama gharama za dialysis ni changamoto kwako au kwa mtu unayemjua ###
Usisahau kutamka bible code number 40 Mungu atazihuisha figo zako na utaanza kukojoa kama zamani****
### kama ugonjwa uliokua nao inaweze ikawa wewe, ndugu yako, mzazi wako, hospitalini wamekuambi huwezi pona, na kuna magonjwa wewe au mtu wa karibu yako huwezi kuhimili gharama kama dialysis tamka code zifuatazo ###
Bible code number 40:- PERESI PETELI PETELI PERESI
Kazi yake;- kugusa upindo wa...
Bible code number 15:- PERESI PERESI PERESI PERESI
Kazi yake;- kupata idea ya dharura/haraka itakayokuvusha nyakati ngumu
(Mwanzo 26:1-5, 2 Wafalme 7:1-20)
Kipindi kigumu cha uchumi
Kipindi cha njaa
Kipindi cha vita
Wakati madeni yamekulemea
UNATUMIAJE
Binafsi-unatamka jina na bible code...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.