Nguvu iliyotumika kudhibiti Waandamanaji Oktoba 29, 2025 ilikuwa kubwa kuliko uhalisia
Katika historia ya Tanzania, suala la matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji imekuwa ni suala geni na lenye gumzo kubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi.
Jamii ya kidemokrasia, maandamano ni moja ya njia...
Helloo JamiiForums, tunaomba kuripotia kadhia iliyopo katika Bank ya NMB MLELE DC tunayoipata Wananchi, Customer Care ni mbovu mno, mtu mmoja unakaa ukisubiri huduma zaidi ya dakika mpaka 50 bila ya wahusika kutoa maelezo kwa wale wanaosubiri.
Hata wakirudi kutoa huduma hawaombi radhi kwa...
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania Mwaka 1992, safari ya kuelekea demokrasia kamili imekuwa na milima na mabonde.
Mfumo huu ulianzishwa kwa lengo la kutoa uwanja mpana wa mawazo, kuimarisha uwajibikaji, na kuruhusu wananchi kuchagua viongozi wanaowataka bila shinikizo la chama...
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania uliingia kwenye vitabu vya historia si kwa wingi wa Wapiga Kura bali kwa mazingira magumu yaliyozunguka uhuru habari na uhuru wa maoni.
Ibara za 18 na 19 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinatoa uhuru wa wa maoni na habari, lakini...
Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa.
Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
Ni huzuni kuona matukio ya utekaji yanavyoongezeka hasa wakati wa uchaguzi. Serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti kulinda usalama wa raia na haki ya kujieleza.
Ndani ya vipindi tofauti kwa Mwaka 2024 na 2025 tumeshuhudia ongezeko la matukio ya Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, kutekwa nchini Tanzania na bado kumekuwa kukiripotiwa kwa matukio kadhaa ya aina hiyo kuendelea.
Hali hii inanigusa kwa kuwa inavunja misingi ya haki, uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.