CCM wapo tayari kufa na Kapuya kulinda Ubakaji?
1. Mwanafunzi aliyebakwa jina tunalihifadhi (umri 16), yeye ni Yatima, ana dada umri (20)
2. Shule anaposoma, ni Turian Sekondari ipo Magomeni Jijini Dar es salaam, anakaa Gongolamboto, mwisho wa lami jijini Dar, majirani wapo...