Recent content by Ghettominds

  1. Ghettominds

    SoC04 Leo, 1967 na Kesho

    Ninaandika story hii nikiwa ghetto, hivyo hii ni story ya Ghettominds. Hivi karibu kumekuwa na ongezeko la lawama kwa serikali na vijana wa nchi hii. Imekuwa ni kama mpira wa mchezo wa tennis kwani hakuna anaetaka kukaa na kitenesi hivyo basi kuishia kutupiana tuu kitenesi. Kitenesi nacho...
  2. Ghettominds

    SoC04 Usiulize Taifa limekufanyia nini, uliza umelifanyia Taifa nini

    Hili nalo ni wazo zuri, ila kwa upande wangu naona kama hii itakuwa ni changamoto kwani tumeona serikali ilijaribu na imejaribu kufanya hili kwa ngazi za msingi na sekondari. Shida inayojitokeza ni kuwa jamii ya kitanzania hawaamini sana kwenye misaada ya bure. Mfano tumeona msaada uliotolewa na...
  3. Ghettominds

    SoC04 Usiulize Taifa limekufanyia nini, uliza umelifanyia Taifa nini

    Naam huko na mim sawa kiongozi, ila kwny upande wa pale kila mwanafunzi apate mkopo na akijinunulie chakula anapoona panamfaa hii itazidi kuchochea hali hiyohiyo kwani wafanyabiashara watatumia tena hili suala kama fursa na kuongeza gharama ya bidhaa kwani wenyewe wanazana ya kuwa wanafunzi wa...
  4. Ghettominds

    SoC04 Usiulize Taifa limekufanyia nini, uliza umelifanyia Taifa nini

    Naandika kutokea Ghetto hii ni story ya Ghettominds. Anaesoma hii namuomba samahani kwa kumkumbusha machungu aliyopitia, katika ngazi ya elimu ya juu yani chuo. Hii ngazi wengi humu tumepitia na hakuna asiyejua maisha ya chuo jinsi yalivyo. Hivyo basi kupitia sera ya Tanzania niitakayo nawapa...
Back
Top Bottom