Recent content by Ghetaro

  1. G

    Namshukuru sana ex wangu kwa kukejeli maumbile yangu ya kiume tulipoachana. Kauli yake kwangu iligeuka na kuwa baraka kubwa sana kwangu

    Kwani anakuwa amekunyima...au hana kwa wakati huo...?!!! Kina wakati wanawake wanatupitisha katika njia ngumu sana, yaani hawatambui kupata na kukosa...!
  2. G

    Ni sahihi kulea mtoto wa Kambo?

    Wala hakuna ubaya wowote, wewe mlee kadiri ilivyo sahihi, lengo ni kumsaidia huyo mkeo bila kujali chochote. Msaidie mtoto aje kutengeneza maisha yake, kama huko kwa baba yake anateseka hakika wataharibu saikolojia yake.
  3. G

    Nini maana ya hii ndoto?

    Daah aisee hiyo sio ndoto ya kawaida, ni Mungu ameamua kukumbusha kwamba kuna pesa nyingi ambazo bila kutarjia lakini kumbe ni shetani huwa anajipenyeza katika shughuli zetu...!
Back
Top Bottom