Recent content by Ghama

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni biashara kubwa ambayo imetajirisha wengi

    Wanasiasa ndio wapi hao? Huo ndo ujinga wenyewe wa kudhani kuna wanasiasa zaidi yako wewe. Wewe ndo mwanasiasa namba moja wa maisha yako, usipoyapigania kwa kuhofia kufa, utakuja kufa kwa kukosa maji mtaani kwako.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Serikali haramu inavyojihalalisha kibabe

    Tunabikiri watu hiyo siku, ngoja tupake mkongo
  3. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo sita (06) ya kujifunza kabla hujaanza kuishi mwenyewe magetoni tafadhali

    Mwisho usidhani hilo ghetto ndio kwako sasa, kaa miaka miwili au mitatu ukiwa unajenga then hamia kwako.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mjii bado umelala, hangover ya Maandamano inawasumbua wengi

    We toka tu hujazuiwa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Watakaogeuka Kuwa Maadui Wakubwa wa Mbowe na CHADEMA, ni Wanachama na Wapenzi wa CHADEMA wa Sasa

    Hadi sasa quarter of life ya Mbowe kukiongoza chama kwa misingi yake kilivyokuwa is over. Mpaka sasa jamii kubwa ya wana CHADEMA washasanuka kuwa FAM yupo hapo kwa manufaa yake wala si kwa wananchi. Ikumbukwe hata maandamano aliyokua anaitisha lengo na madhumuni ilikua ni kujinadi yeye na...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Wenje yamenyooka zaidi kuliko tuhuma za Lissu! Huenda Mbowe bado ni mtu sahihi zaidi kuongoza CHADEMA

    Wenje kajikanyaga kanyaga ovyo ovyo tu hajaeleza kile kinachodaiwa Mara Abdul alisema Lissu tayari kashalipwa mara wakaenda kwa Lissu wakachukua nyaraka Hapo kuna kitu behind the scenes tumefichwa.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

    Ukikua utajua kwa nini wameamua kumsakama binti
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa wanyama: Simba na Dubu nani mshindi endapo wakikutana porini?

    Hii game nyani atakua anacheka vibaya mno
Back
Top Bottom