Recent content by GGUY

  1. G

    Bavicha kigamboni wajiimarisha

    Kata ya kigamboni baraza la vijana BAVICHA wanawatangazia vijana wote waishio kigamboni na maeneo ya jirani kuhudhuria mkutano wa ndani tarehe 3.11.2013 ..tunawakaribisha vijana wote kujadili changamoto mbalimbali wenu katika nguvu ya umma mnkondya hamis,kasim...
  2. G

    CHADEMA waibwaga CCM IFM

    NI baada magamba kutumia kila mbinu katika uchaguzi lakini watooto wa wakulima waliweza kuilinda kula mpaka saa 9 za usiku kuibuka kidedea kwa ushindi mkubwa sana ,na huu mwanzo tuu 2015 itajulikana peopleezzzzzzz
  3. G

    Duru ya pili uchaguzi IFM

    Ni baada ya uchaguzi wa awali ili kupata wagombea wawili hivyo kesho ni kiama nani RAIS mteule wa CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA licha ya uchaguzi wa awali kugubikwa na utata mkubwa kwani inasadikika magamba yamesimamisha mtu wao katu wanachuo wameapa kuwa kamwe hawatakosea hata kama management...
Back
Top Bottom