Recent content by GGGGG

  1. G

    Polisi Mkoa wa Mara wavamia usiku huu na kumkamata mgombea wa CHADEMA

    Mungu tusaidie kufika Salama.kwani vitisho Kama hizi mwisho wake ni mbaya sana kwani unaweza kumgandamiza Mtu mwisho wa Siku atashidwa kuvumilia kitakachofuata ni nn majibu utajua
  2. G

    GE2015 Mulongo anasurika kipigo, kisa Lowassa

    Kama Habari hizi ni kweli kwanini viongozi wanataka kuaribu amani yetu na mwenyeenzi Mungu awaangali Kwa namna ya peekee
  3. G

    Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    Kama kweli Ccm wamezamiria kukomesha mafisadi wakina Tibaijuka na Chenge na wengine wote tusikie wapo ndani wana kesi ya kujibu kura tunawapo October 25
  4. G

    Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    Mbona siwaelewi mafisadi wangapi wapo Ccm mnalia na lowasa kila kukicha
  5. G

    Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    Utajua wewe ss ni lowasa tuu hata mseme nini hatuelewi kitu kikubwa CCM mafisadi wang'oke
Back
Top Bottom