JE, ULISHIRIKI SHINDANO LA 'STORIES OF CHANGE' 2024? USIKAE MBALI NA PM YAKO
Siku ya kukabidhi zawadi kwa Washindi wa Shindano la #StoriesOfChange2024 ni Septemba 21, 2024, ambapo washiriki walioandika Andiko Bora kuhusu #TanzaniaTuitakayo kwa Miaka 5-25 ijayo watatangazwa
-
Sasa, kama...
Mchakato wa kuwasilisha Maandiko kwaajili ya Stories Of Change 2024 ulifungwa rasmi Juni 30, 2024
Majaji wanaendelea na zoezi la kupitia Maandiko yaliyokidhi vigezo vya Shindano ili kumpata Mshindi
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia kurasa rasmi za Shindano (@jfstoriesofchange), za...
Tanzanaia tuitakayo Miaka kumi ijayo
Udumavu, au utapiamlo, ni hali inayojitokeza pale ambapo mtoto hupata lishe duni, ambayo inaweza kusababisha kuchelewa kwa ukuaji wa mwili na akili. Chanzo cha udumavu kwa watoto ni mchanganyiko wa mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa lishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.