Recent content by GERRARD SNR

  1. G

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Kumbe Nchi Yetu Imefika Pabaya Kwa Sasa. Kwa Hiyo Kama Unataka Kufanya Kazi Pale Tra Inabidi Usiwe Na Uhusiano Wowote Hata Wa Karibu Na Wachaga Au Waliotajwa . Du , Hii Kali... Ikulu Usiwe Mkwere....basi Tuangalie Makabila Ambayo Yanastahili Kukaa Nyumbani
  2. G

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    kwa kweli katika suala ambalo linaniumiza kichwa ni jinsi gani watanzania tumekuwa tunapenda sana kuongea na ukuta. ninaposema ukuta namaanisha kuwa tunapenda kujiongelesha bila kujua nini kitatokea na nini tunakiongelea na kama ni tatizo jinsi gani linatatuliwa. kwanza nimpongeze sana mwana...
  3. G

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    KAKA LUNYUNGU NAOMBA KUKUELEZA KWAMBA NCHI YETU INAITWA TANZANIA NA KAA CHINI ANGALIA KUMBUKUMBU ZA MATUKIO AMBAYO YAMEWAHI KUTOKEA TOKA ENZI ZA MWALIMU HADI CHAGUZI ZILIZOPITA..........NAFIKIRI UTANIELEWA KWAMBA MAMBO MENGI YANAANZA KAMA SPECULATION THEN YANAKUWA KWELI.KUBWA ZAIDI NI KUMUULIZA...
  4. G

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    NANI ALISEMA MENGI CCM DAMU? KAMA ANGEKUWA CCM SI ANGEMSHAWISHI FREEEMAN KUEGAMIA KWENYE UPANDE WAKE. MIE NAOMBA NIWKE HII HOJA SAWA. KWA TAARIFA NILIZONAZO AMBAZO ZINATOKA UCHAGANI NI KWAMBA KWENYE KILE CHAMA CHA WATU WA MACHAME NI KWAMBA MENGI NDIYE KIONGOZI NA FREEMAN NI MUHASIBU AU KWA...
Back
Top Bottom