Wadau naomba kuuliza kuhusu hivi viapo vya damu,
Nilikutana na demu kwa muda wa wiki hivi ni kabinti kama miaka 18 ndio kwanza kanaingia form 5, siku hiyo tupo nae namsindikiza akaniomba ninunue kiwembe, sikujua cha kazi gani, baadae akaniambia anataka anichanje afu kila mtu anywe damu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.