Recent content by Gerino

  1. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mafunzo ya udereva kwa elimu ya sekondari

    Haswaa yani iwekwe kwa upana zaidi ni muhimu haswa kwa watu wasio na uwezo wa kwenda shule binafsi na pia italeta umakini barabarani maana kwanzia kidato cha kwanza hadi cha nne hakika utakuwa ni uzoefu wa hali ya juu kwa maono yangu zitakuwa leseni za kueshimika
  2. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mafunzo ya udereva kwa elimu ya sekondari

    Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo leseni hii itasaidia swala la ukosefu wa ajira mitaani maana mtu anaweza akakosa cheti cha kidato cha...
Back
Top Bottom