Recent content by Gerald1234

  1. G

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa avuliwa nguo, dili alilipanga Josephine. Alonga na Mwakyembe kabla hajaingia kwenye mkutano

    Irushe hiyo audio maana watu siku hizi wamekuwa Thomaso hawaani hadi waguse.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Karatu, Israel Natse (CHADEMA) ajitoa kuwania Ubunge

    Chadema mwanzo mwisho . Akitoka huyu akiingia yule utasema nafuu aliyetoka. Utafikiri wote wamesomea chuo kimoja. Si mwanamke, si mwanaume.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe 'awekewa kisu' shingoni na Lowassa

    Pamoja na yote hayo lakini ukweli ni kwamba ACT ikijiunga na ukawa basi ccm hawezi kusimama lakini ninachohofia ni ubinafsi pamoja, uchu wa madaraka pamoja na visasi vitatawala, kwahiyo basi badala ya kujenga tutabomoa nchi. Bora ibaki kama ilivyo sasa.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma yamsafisha mtuhumiwa fedha za rushwa

    Wala Mimi sishangai maana nilitarajia hili, ndo wale wale. Kazi yao ni kusafishana tu.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mengi kabahatika sana kushuhudia mahasimu wake wakidhalilika katika kipindi kifupi sana

    Alijinadi kuwa endapo itathibitika kuwa yeye ni mtoa rushwa na fisadi basi atajiuzuru uenyekiti wa yanga? Sasa Ni ushahidi gani tena unahitahijika? Nataka nione akijiuzuru.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: Magufuli hafui dafu UKAWA

    Atafaa tu kwani Luna chuo cha kusomea uraisi?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Njama za CCM kumuweka Kizuizini Lowassa zaiva!

    Ccm sidhani kama wanaweza kufika huko, kwani wanajua kuwa kutakuwa ni kuwagawa wana wa tz na kuhatarisha uhai wa chama.
Back
Top Bottom