Recent content by Gerald .M Magembe

  1. Gerald .M Magembe

    Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    Our political system is corrupted when an elite few set the agenda for the many, marginalizing opposing voices. Current leadership has coopted our trust for their own gain, not the public good. Our urgent task is to defend and elevate true advocates like Polepole, who represent our collective...
  2. Gerald .M Magembe

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    In Tanzania, it's common for people to hold degree papers without actually being literate. These papers don't necessarily prove their ability to perform tasks, but instead serve as a means of pursuing monetary gain. Unfortunately, those who hold degrees but don't prioritize money or unethical...
  3. Gerald .M Magembe

    Wenye akili kubwa wanajua kuwa CHADEMA ndio anapiga penalti ya mwisho

    Huu mtego sio rahisi sana kuutekeleza, Kuna hitajika kwa uchache. shs billion 3 kuwaita wajumbe wote 700 kwenye mkutano na matayarishe mengine husika kuendesha kikao, na lazima kamati kuu ikutane ili kuitisha mkutano huo. Na Bado haitoi hakika kuwa maamuzi ya mkutano yatakuwa ya mwisho na...
  4. Gerald .M Magembe

    Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

    We are not special as citizens, but we have a country that has plenty of opportunities waiting to be exploited in contrast Kenya doesn't have.
  5. Gerald .M Magembe

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Unaeleweka sana, na hasa kwa wenye ufahamu wa kutosha. Ni mara chache una upendeleo wa wazi na hata ukiwepo unaweza kuelezea. Hongera.
  6. Gerald .M Magembe

    Kuna watu wameamua kumwambia ukweli Rais Samia

    I am not entirely sure if you are from the Lake zone regions, but assuming you have been visiting your homestead and mingling with people in the villages, your observations may not be representative. As part of my duties inspecting country-wide projects in both urban and remote areas of the...
  7. Gerald .M Magembe

    2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    It seems that you view politics through an emotional lens rather than through a practical one, Mizania. The legacy of Magufuli stands out as he was the only African president who spoke to his constituents in their language and found practical solutions to their issues, even meeting with them...
  8. Gerald .M Magembe

    2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    It's worth considering that Kenya's elections are often plagued by malpractice at every level, including the judiciary.
  9. Gerald .M Magembe

    Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

    Ni Katibu wa secretariate wa chama kinacho kutawala .
  10. Gerald .M Magembe

    Hayati Magufuli kama angekuwa hai, haya ndiyo yangekuwa maamuzi yake kuhusu DP World

    Nani alikuwa rafiki mkubwa wa Hayati Rais Magufuli ? Ni Hamza Johari ama Deusdedit Kakoko? Jitahidi jwenye taarifa zinazo somwa na wengi ziwe taarifa zenye kuaninika.
  11. Gerald .M Magembe

    Hayati Magufuli kama angekuwa hai, haya ndiyo yangekuwa maamuzi yake kuhusu DP World

    Kwani ujenzi wa bandari ya Bagamiyo na miundombinu muhimu ilikuwa ili kupunguza uwezo wa nchi kusafirisha mizigo na kuongeza uwezo wa kiuchumi viwanda? Miradi ya DP world lengo lake ni kinyume na hilo?
  12. Gerald .M Magembe

    Hongera sana mwamba wa mageuzi Mbowe, Tanzania itakukumbuka daima

    Kwa bahati nzuri katika kipindi cha miaka 8 ( minabe) tumekuwa na tawala za Marais wawili waliokuwa na mifumo ya kutawala kitofauti tofauti. Na hapa hakuna picha halisi ya Mbowe tulio iona ama kuunga mkono au kukataa moja kwa moja tawala hizo Jee anataka mageuko gani? kwa kuwa kwenye mageuzi...
  13. Gerald .M Magembe

    Hayati Magufuli kama angekuwa hai, haya ndiyo yangekuwa maamuzi yake kuhusu DP World

    Laa unajitahidi sana kuyumbisha ukweli. Ulipokataliwa mkataba wa Bandari ya Bagamoyo maamuzi ya Baraza la Mawaziri ilikua kupanua Bandari ya Dar es salaam na kukamilisha SGR. Hakuna maamuzi yeyote yaliyofanywa hata kujaribu kufanya Project profiling ya uendeshaji wa Bandari Zetu au waliopo...
  14. Gerald .M Magembe

    Hayati Magufuli kama angekuwa hai, haya ndiyo yangekuwa maamuzi yake kuhusu DP World

    Uwongo imetamalaki hapa, ukweli kiduchu na ambao hauna manufaa kwa linalo jadiliwa hapa.
  15. Gerald .M Magembe

    UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Daaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi wa kutukana bila woga na hata aibu.. Huyu Jamaa hakumbuki jana alisema nini na hao uliowatukana utegemee wakupokee kwa makaribisho ya upendo na shangwe. akili hakuna na kumbukumbu hakuna.
Back
Top Bottom