Recent content by Georgie Jr

  1. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Naona wapo sawa kwa nini wengine wasote law school, halafu makada waje kupewa kimagumashi naona ni dalili ya kuifubaza TLS kwa kuwapa makada na machawa u-lawyer ambao haustahili ni wazi kabisa wana target chaguzi za TLS na kuhakikisha nafasi ya urais wa TLS unakuwa kwa Chawa na Kada, Watu...
  2. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Kwenye makaratasi watu wana mawazo mazuri, njoo field upate jibu kwanini Profesa wa uchumi UDSM, hataki kuwa mfanyabiashara, kang'ang'ania ajira

    Kweli kabisa na T. R. A nao imefika muda wawe na duka lao la Mfano wauze bidhaa au huduma waone uhalisia kwa ground , sio kupandisha makodi kila Siku kwa kuangalia tafiti za mezani
  3. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Je, kuna aliyewahi kupona chronic gastritis & GERD (ACID reflux)? Naomba msaada

    Ndio, karibu naweza kukuekeza pa kuipata
  4. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Je, kuna aliyewahi kupona chronic gastritis & GERD (ACID reflux)? Naomba msaada

    Mm nilipona kabisa, but nilitumia dawa moja ya tiba lishe / herbs, kwa dawa hizi za hospital zinatuliza tu tatizo au zinatibu tu maumivu shida inaendelea kuwepo
  5. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Hakimu unaanzaje Kumfunga Mtu Jela Miaka 30 au Maisha kisa Bangi kilo Moja?

    Hakika NCHI imejaa Usenge sana.
  6. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

    Naunga mkono wazanzibar wapo na uzalendo na mipango, Tanganyika wapo na uchawa, wafurushweee
  7. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

    Naamini wanafanya hivi kwa kuwa wanaamini waafrika sio binadamu waliokamilika, bila hivyo dunia haitakuwa sehemu salama ya kuishi, Tujikafakari sana
  8. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Nimerudi na majibu ya hosptal

    Mm pia uwa napata shida kama iyo immediately nikinywa soda, pipi au biskuti Niliacha hayo maviru kitambo na kwa sasa niko poa
  9. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta ni bomu linalosubiri kulipuka

    Shida kwani nini, biashara ya mafuta si biashara kama zingine zikifuatana shida ni nini Kuhusu usalama watu hofu ni zitalipuka wakati October 29, vituo vingapi vimechomwa moto? Kipi kimelipuka Vituo vya mafuta vinageuza sana madhali ya miji, vinatoa ajira na uchumi, pia vinatoa huduma tuache...
  10. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

    Hii barabara 2030 watakuja tena kuwaambia wananchi wakipewa ridhaa ya kuwaongoza wataimaliza, hii barabara chama kile Mfu kishaona ndio mtaji wake wa kisiasa
  11. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania Aasad Mwinyi ateuliwa Mjumbe wa Kamati ya uendeshaji ya Chipukizi Dar es Salaam

    Hahaha Mwosha Mbwa yupo yupo uko mbozi, anapalilia mahindi
  12. Georgie Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Walipanga kuchelewesha uchaguzi ili kuingiza nchi vitani

    Phd in ujinga & ushamba development
Back
Top Bottom