Recent content by georgebest

  1. georgebest

    Solar Power

    Nimeona hata mimi wamejibu 2 katika email nane nilizotuma, kweli inabidi naenda kwenye ofisi zao. Nataka kujua offer at least za kampuni 5/6 namna hii kumchagua yule mwenye offer nzuri.
  2. georgebest

    Solar Power

    Hahah sawa sawa.
  3. georgebest

    Solar Power

    Labda fundi alikosea au mimi nimekosea kueleza vizuri, kiswahili changu sio vizuri sana hahah. Shida unawaandikia kampunni hawakujibu na wanakufanya unaangaika kuwatafuta kama wanafanya kazi bure, kumbe unawalipa.
  4. georgebest

    Solar Power

    Sijakuelewa???
  5. georgebest

    Solar Power

    Sio panel ya watts 1000 ni panels ambazo ukionganisha inakupa nguvu ya watts 1000 (1kW/h). Alisema kua nguvu nayohitaji ni kutoka 500w/h mpaka 1000w/h. Kiswahili changu sio vizuri sana lakini najitahidi kuongea kiswahili namna tunaelewana wote kuliko kuongea lugha ambayo tunaelewana 3/4.
  6. georgebest

    Solar Power

    Wamenijibu wale wa ensol tz wameniambia nahitaji panel za 135w nne, betri 4 za 200Ah, inverter, kuunganisha na hadi malipo ya mafundi itakua mln 10 na laki 3 Tzs. Hii iko sawa kwa taa 14 (6 inje zinawaka usiku mzima, 8ndani masaa 4/5) tv moja, deconder, pasi. Walipiga hesabu average ya matumizi...
  7. georgebest

    Solar Power

    Ok Asante sana ndugu. Kwahiyo bira tv ni mln 1.2Tsh mtandao mdogo, nikifanya mara 10 ule mtandao mkubwa wa watts 1000 inaweza kua mln. 12TZs. Sio mbaya kwa miaka 25.
  8. georgebest

    Solar Power

    Hao nimewatumia email hawajanijibu mpaka sasa.
  9. georgebest

    Solar Power

    Ah ok, na ulilipa bei gani?
  10. georgebest

    Solar Power

    Nyumba iko tabata dar, sitaki tanesco ndio mana nataka kuweka solar. Nimeshapigiwa hesabu na fundi wa solar na kaniambia nahitaji betri 4 za 12v kwa 100Ah na panels ya watts 1000. Kaniambia kua nikiwaambia hivi kampuni za solar wataniambia gharama zote mpaka napata umeme. Sasa nataka kujua...
  11. georgebest

    Solar Power

    Asante
  12. georgebest

    Solar Power

    Hii ndio shida kwa sasa siko nyumbani tanzania, ndio mana niliwatumia emails lakini hizi kampuni zetu sizielewi kabisa kwanini wanaweka email zao kama hawajibu. Asante hivyo hivyo kwa msaada ndugu.
  13. georgebest

    Solar Power

    Habari zenu wote, Naombeni msaada wenu mara moja. Nilitaka kununua solar panel ya nguvu ya watts 100 na nyingine yenye nguvu ya watts 1000 (kW 1) ya kuweka kwenye nyumba. Kwahiyo nilitaka kujua inaweza kua gharama gani ile ya watts 100 na gharama gani kuweka ile yenye nguvu ya watts 1000w...
  14. georgebest

    Nauza Lamborghin Gullardo

    Bwana mi nasoma mwaka wa 5 sasa kwenye Ferrari high school ya modena(italy) na kiwanda cha lamborghini hakiko mbali sana na mwaka jana nimefanya field pale na tunasoma kuhusu haya super car, hio sio gallardo sababu gallardo ya mwaka 2009 haina exhaust moja kati kati maximum hio inaweza kua...
  15. georgebest

    Nauza Lamborghin Gullardo

    Bwana mbona hio sio lamborghini gallardo.
Back
Top Bottom