Mi naimani kwenye kuzaliwa kila mmoja kazaliwa na kipaji chake binafsi ninavyo kama vitatu.
Yani mpira, kuimba na kutunga stori.
Uzi wangu ni nahitaj watu wa kuanzisha crew la music iwe hiphop.
Ninaweza pia rnb .
Kama post imekukwaza sory 4 that japo Tanzania ni nchi huru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.