Recent content by GEORGE PAUL

  1. GEORGE PAUL

    kwa wanandoa tu!

    ndoa ni complicated sana tena inahitaji uvumilivu wa hali ya juu, naweza kusema m2 kutoka nje ya ndoa ni tabia yake,wengine yamewashinda ndani ya ndoa wanaamua kutoka. kama unyumba hamna ndani ya ndoa we unategemea nini!!? yaani inawezekana kabisa mafarakano yasiyokuwa na suluhisho kwa mda mrefu...
  2. GEORGE PAUL

    Kwa wakaka tu

    unajua ni ngumu kujua kama ni serious au???
Back
Top Bottom