Recent content by George Orwa

  1. G

    Changamoto za kuisomea Degree ya Sheria

    Wakuu wangu habari za muda huu, Naomba kujua changamoto ya kusomea Degree ya Law chuoni na pia soko lake la ajira kwani mimi ni mhitimu kidato cha sita na ndoto zangu ni kuwa lawyer.
Back
Top Bottom