Recent content by George 01

  1. G

    Christian ministry registration

    Wadau, nahitaji kusajili christian ministry lakini sijui hatua na njia za kupitia kutekeleza mpango huu. Naomba kama kuna anayejua anisaidie.
  2. G

    Hodi ndani ya jamii Forum

    Japo nimejiunga na jamii forum kwa miezi kadhaa sasa, lakini sikuwa nipata muda wa kutosha kuitembelea hii site na kuanza kushiriki kikamilifu kama member. Natangaza rasmi kujitosa ndani ya jamii forum na ninataraji kwamba nitashare kikamilifu some experiences na wenyeji. Yes, I love you all.
Back
Top Bottom