Recent content by geophrey_lunyungu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Freeman Aikael Mbowe: Nguli wa siasa za Tanzania na mwanasiasa mahiri na shupavu

    Nini unaongea kuhusu DJ Huyu sio mwanaaiasa muulizeni kuhusu mamiziki huku aliletwa na mkwewe ili akinusuru chama.Mbowe na chadema wote kwa ujumla wao sio wanasiasa ila ni watu wa SACCOS ukisema hivi sawa ila sio siasa.Siasa waacheni wanasiasa.CCM oyee.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Mwanasiasa mwenye ndimi zaidi ya mbili

    Tanzania hakuna chama cha upinzani the rest njaa zinawasumbua tu na uchu wa madaraka ------- hawana lolote
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mnyika; njoo kimara haraka

    Ndo mjute kwa kumchagua na hao ndo wabunge wa chadema.
  4. G

    JamiiForums Tanzania CCM, Serikali Mbili Zilizoboreshwa, na Hatima Ya Muungano

    We unasema muungano Utakufa,mbona umedumu kwa miaka hamsini pamoja na mapungufu yaliyopo? Kwa nini usingevunjika huko tulikotoka?
Back
Top Bottom