Recent content by geofmwemezi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Interview PPF

    Oh! kumbe! asante kwa taarifa yako
  2. G

    JamiiForums Tanzania Interview PPF

    yep, I dnt hide my id!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Interview PPF

    Mambo vp wadau? Yeyote mwenye taarifa khs kuitwa kwenye usahili wa post sita za operation trainees naomba anijuze, Thanks in advance
  4. G

    JamiiForums Tanzania PPF Vacancies

    nafasi nane kwa nchi nzima, hata ukadilie vp probability ya kupata ni zero
  5. G

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa ajira na Scam Jobs

    we uliwaweza
  6. G

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa ajira na Scam Jobs

    logically reasoning!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa ajira na Scam Jobs

    Duh! I nvr knew tht!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa ajira na Scam Jobs

    Habari wanaJF? Natanguliza pole kwa fighters wa ajira ambao mpaka sasa hawajapata ajira! Hali ni mbaya kiasi kwamba imefika hatua ya kuomba kazi nje kbs ya professionals tulizosomea! Siku hizi kuna kamtindo ka matapeli wasomi wa hapahapa Tz ambao hupost ajira feki kwenye mitandao...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania postal Bank..

    Kwani Bayport wanalipaje kaka?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hons bachelor degree...

    Habari zenu wadau? kuna mtu anafaham hizi bachelo degree zenye hons zinavyopatikana? ni kwa sifa zipi mwanazuoni ana qualify kupewa hizi bachelor zenye hons?? k.v LLB(hons.), BBA(hons.)…n.k
Back
Top Bottom