wadau nimesoma mjadala na kuelewa....nadhani ni vyema tukajadili mchango wa technoloji kwa nchi yetu hasa hasa kwa kampuni zetu za wazawa ndani vinginevyo tutaishia kulalamika kwa kuendekeza makampuni ya nje yanayokuja hapa kuchuma na kuondoka....mwishoe tunaishia kwenye yale yale ya...
Hapa nadhan kuna tatizo la akili za mawazo mgando....kwa kuanziaa tangu lini MaxMalipo ana network yake?? inaonekana unatumwaaa mjomba. Hawa jamaaa wa MaxMalipo kwa hili hauna hoja unalazimisha kuuaminisha upuuzi wananchiii ...Kama we msafi saana. Kwanini hujalipa siku zote kodi mpaka leo TRA...
Bwana whistleblower maoni yako ya mwisho umethibitisha maneno yangu kuwa wewe unawakilisha walioshindwa ila inasikitisha na kukera kuonesha ufahamu mdogo wa mambo ya pesa shilingi mill 500 ya mika nane iliyo pita ni zaidi ya bill 2 (Time Value for Money-Tukupe shule kidogo). tujadili kwa hekima.
Mimi binafsi nakubaliana na Ichenjezya ndugu zangu tuache kusema mambo bila kufikilia na ushabiki iliyojaa mihemko ndan yake. Vitu vzr n bora vina gharama yake wale huwezi kimbia. Mambo hayo ya bei chee ndio kila siku tunarudia miradi angalia barabara zetu kila siku misala tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.