TRA/PCCB chunguzeni wizi mkubwa Max Malipo leo hii

mlugha

Member
Feb 15, 2015
89
125
Hivi kwanini serkali ikaamua kukusanya kodi ya Roadlicense kwa kukamata magari ingekuwa vizuri waweke tozo katika mafuta kodi ingekusanywa nyingi zaidi kwani kuna magari mengine hayana hata plate no yako vijijini na mitambo kuliko kung'ang'ania hapa mjini naomba wabunge warudishe hoja ya tozo la mafuta
 
dlazari

Member
Sep 20, 2012
74
95
Mifumo ya malipo ya kodi isiwe ya mateso kwa walipaji. Ni wapuuzi tu wanaotetea utaratibu wa kumsumbua mtu anayefanya malipo. Ni lazima kuwe na njia mbadala kama mfumo wa max malipo haufanyi kazi.

Ndugu wanabodi

Leo TRA walikuwa na kamatakamata ya magari ingawa sina uhakika kama ilikuwa 'operation' ya nchi nzima. Kwa bahati mbaya gari yangu leo miongoni mwa magari yaliyokamatwa leo kutokana na deni na mapato nililokuwa nadaiwa. Operation hii nimeipenda sana kwani hili ni agizo la mkulu la ukusanyaji madeni yote.

Lakini utaratibu wa leo naona kama umepangwa kimasilahi ya watu. Nasema hivi kwa sababu mfano mimi nimekamatwa leo na kuambiwa deni langu, gari ikaingizwa yard nikaambiwa niende kulipa deni hilo kwa njia ya Max-Malipo na nikaambiwa itanibidi kulipa faini ya tsh 30000 halafu gari itakuwa inalipiwa 10000 kila siku mpaka itakapotoka.

Mimi sina shida juu ya hili kwani ni utaratibu walojiwekea. Tatizo ni kwanini Max Malipo wazime network toka asubuh hadi jioni ya leo? Imagine Max Malipo leo haifanyi kazi toka asubuh hadi sasa.

Imagine leo TRA wamekamata magari mangapi nchi nzima ambayo yanatakiwa kulipia elfu 10 ya ulinzi? Mfano nilikoaacha gari nimeacha magari zaidi ya 150 na yote yameambiwa yakalipwe kwa Max Malipo. Hivi haya malipo kwa nini yasilipwe kwa njia ya bank mpaka Max Malipo?

Baada ya kuangaika sana kwa kukosa huduma ya Max Malipo niliamua kwenda TRA kuomba nilipe kwa njia ya bank nikaambiwa ni lazima nilipe kwa Max Malipo, nikilipa kwa bank itapotea!!!!Inapoteaje?

Kwa kweli imeniuma sana, ndo narudi home na pesa mkononi halafu kesho nikalipe hiyo 10000 ya kunilindia gari. Nacalculate idadi ya magari yaliyokamatwa leo nchi nzima ambayo yanatakiwa kulipia 10000 +30000. Kweli nchi hii watu wanajipigia pesa tu!

Huu ni wizi aidha kati ya TRA, Max Malipo na wenye yard, ninaomba ufatiliaji!

NOTE:
TRA wakifunga ofisi saa kumi utaona mtandao unaruhusiwa. Hii ni hujuma!Kwa Utaalamu wangu Mdogo na Uelewa; Hapa Tatizo la Msingi ni kwanini Njia za kulipia Hazifanyi kazi, na sio kwanini Maxmalipo au Kwanini TRA.

Pili Mwandishi; Hujaelezea imekuaje kwanini hujaenda Bank, maana wanaopokea malipo haya ni Mabank (CRDB,NMB) ,Mitandao yote ya simu pamoja na Maxmalipo.

Tatu: Kwa Serikali ya hapa Kazi tu sidhani kama kuna sababu nyepesi mtu anaweza kuhujumu Uchumi kama inavyoelezewa hapa Juu... tutafakari kwa umakini

Nne: Hii POST isije ikawa ni ushindani wa wa kibiashara.

Ni mawazo tu
 
Nyamtoki

New Member
Oct 2, 2016
4
20
Habar wanajamvi ....Kwanzaa nasema huyu ndugu yetu anamatatizo nafikiri ya uelewa....Sote tunafahamu....TRA wameweka utaratibu wa kulipia kwa njia mbalimbali Mawakala wa MaxMalipo moja tu ya hizo njia. Sote tunafahamu unaweza lipia kwa kutumia simu yako ya mkononi kama MPESA,TIGO PESA,AIRTEL MONEY, pia unaweza kwenda Bank kama NMB,CRDB pia unaweza lipia kupitia Ofisi za Shirika la Posta nchi nzima.
 
Nyamtoki

New Member
Oct 2, 2016
4
20
Ndugu wanabodi

Leo TRA walikuwa na kamatakamata ya magari ingawa sina uhakika kama ilikuwa 'operation' ya nchi nzima. Kwa bahati mbaya gari yangu leo miongoni mwa magari yaliyokamatwa leo kutokana na deni na mapato nililokuwa nadaiwa. Operation hii nimeipenda sana kwani hili ni agizo la mkulu la ukusanyaji madeni yote.

Lakini utaratibu wa leo naona kama umepangwa kimasilahi ya watu. Nasema hivi kwa sababu mfano mimi nimekamatwa leo na kuambiwa deni langu, gari ikaingizwa yard nikaambiwa niende kulipa deni hilo kwa njia ya Max-Malipo na nikaambiwa itanibidi kulipa faini ya tsh 30000 halafu gari itakuwa inalipiwa 10000 kila siku mpaka itakapotoka.

Mimi sina shida juu ya hili kwani ni utaratibu walojiwekea. Tatizo ni kwanini Max Malipo wazime network toka asubuh hadi jioni ya leo? Imagine Max Malipo leo haifanyi kazi toka asubuh hadi sasa.

Imagine leo TRA wamekamata magari mangapi nchi nzima ambayo yanatakiwa kulipia elfu 10 ya ulinzi? Mfano nilikoaacha gari nimeacha magari zaidi ya 150 na yote yameambiwa yakalipwe kwa Max Malipo. Hivi haya malipo kwa nini yasilipwe kwa njia ya bank mpaka Max Malipo?

Baada ya kuangaika sana kwa kukosa huduma ya Max Malipo niliamua kwenda TRA kuomba nilipe kwa njia ya bank nikaambiwa ni lazima nilipe kwa Max Malipo, nikilipa kwa bank itapotea!!!!Inapoteaje?

Kwa kweli imeniuma sana, ndo narudi home na pesa mkononi halafu kesho nikalipe hiyo 10000 ya kunilindia gari. Nacalculate idadi ya magari yaliyokamatwa leo nchi nzima ambayo yanatakiwa kulipia 10000 +30000. Kweli nchi hii watu wanajipigia pesa tu!

Huu ni wizi aidha kati ya TRA, Max Malipo na wenye yard, ninaomba ufatiliaji!

NOTE:
TRA wakifunga ofisi saa kumi utaona mtandao unaruhusiwa. Hii ni hujuma!
Uzembe wako mwenyewe inakuaje hujuma mkuu....
 
Chemtrail

JF-Expert Member
Aug 15, 2016
827
500
Duh,wizi kama wa kampuni za simu.Hii nchi kila mtu mwizi.Tutamalizana.Pole mkuu.

mjukuum

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
5,151
2,000
Kazi nzuri sana, Pole kwa yaliyokusibu kwa kukosa mtandao wa Max Malipo. kama ulikua na uwezo wa kulipa mbona usilipe mpaka unakamatwa unalipa pamoja na fine juu yake?
Mjnga hakosekani hata kwenye mambo ya msingi
 
Soso J

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
1,979
2,000
Kaka mimi si mkwepa kodi kwanza Kwan nimeona kuandika source nitaandika mengi,hata mimi nimeshangaa kukuta ni deni tena kubwa tena kwa gari ndogo ambalo ni km milioni moja n kitu.Ni hivi nimeenda kucheki tra kuangalia chanzo cha deni nikakuta kuwa kuna kipindi niliuza gari yangu miaka ya nyuma kwa kutumia TIN moja na hii gari sasa inaonekana huyo mtu niliyemuuzia hajabadilisha jina au aidha gari amelidump wakati tra akaunti unaendelea,so nimeona nilipe kwanza halafu nianze kufatilia kwa nini halipi mapato so unavonisakama unaniumiza kwn ht mimi nimeumia sana
Halafu ishu hapa nalalamikia Nini kipo nyuma ya pazia ya network ya MAXMALIPO, so ndugu hii ni meza ya kusaidiana ushauri labda nawe km una maslah kwenye hii ni sawa
pole mkuu
 
geoffy

Member
May 2, 2015
7
20
Hapa nadhan kuna tatizo la akili za mawazo mgando....kwa kuanziaa tangu lini MaxMalipo ana network yake?? inaonekana unatumwaaa mjomba. Hawa jamaaa wa MaxMalipo kwa hili hauna hoja unalazimisha kuuaminisha upuuzi wananchiii ...Kama we msafi saana. Kwanini hujalipa siku zote kodi mpaka leo TRA wanatumia gharama za ziada kuwatafuta wewe na wakwepa kodi wenzakoo
 
Mr Nzoka

Member
Nov 22, 2015
94
125
Mjnga hakosekani hata kwenye mambo ya msingi
Hamjui mnalojibu,coz nisingeweza kuandika kila kitu kukamatwa kwangu ni kutokana uzembe wa mtu niliemuuzia gari inaonekana alikuwa halipi mapato gari iko salama but tin ndo imekutwa na deni Hilo,anyway kila mtu anaweza jibu hivyohivyo
 
mjukuum

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
5,151
2,000
Hamjui mnalojibu,coz nisingeweza kuandika kila kitu kukamatwa kwangu ni kutokana uzembe wa mtu niliemuuzia gari inaonekana alikuwa halipi mapato gari iko salama but tin ndo imekutwa na deni Hilo,anyway kila mtu anaweza jibu hivyohivyo
Mkuu nilimwambia yule wa juu noy you best
 
dlazari

Member
Sep 20, 2012
74
95
Sasa uzembe wangu uko wapi?Unaambiwa motorvehicle,mapato yote ya gari ulipe kwa maxmalipo so hata wewe waweza kutwa na hili

Mkuu, Ingia Tigopesa Lipia Gari lako, Acha kuwachosha wana Jamvi, Pili Nawasiswasi kama wewe ni Mmiliki wa Gari, Maana Mpaka unafikia kukamatwa Ujue wewe ni Jeuri wa kulipa Kodi, Wangekutia na Lockup ili Next time Uwe na Nidhamu na sio unakaa na kodi ya serikali wakati inatakiwa Ikajenge zahanati na kusaidia Mambo ya Maendeleo.
 
CR7Balaa

Member
Apr 13, 2016
19
45
Tunafahamu Sote kuwa TRA anamikataba na watoa huduma wake wote akiwemo MaxMalipo. Na huduma hii Sote tumenufaika nazo kwa miaka mingi sasa. Sasa Watazimaje hao MaxMalipo ili wapate faida gani? Na TRA wakubalii tuu
 
mezanane

Senior Member
Apr 11, 2011
116
250
Ni sera ya kodi duniani kote ili uweze kukusanya kodi na kufanya watu wapende kulipa kodi ni budi kuwa na miundo mbinu mizuri ya kulipa kodi. Kwa TRA mlipa kodi ni mteja awe amekwepa kodi au amechelewesha. Kitendo cha kuwa na mfumo usio wa uhakika " MAX MALIPO" peke yake bila ya njia mbadala inakinzana na dhana ya kuwa na mazingira rafiki ya kufanya watu walipe kodi kwa hiari na wafurahie kulipa kodi. Kuna walakini TRA kutegemea mfumo mmoja wakati njia mbadala zipo nyingi. BADILIKENI
 
Mr Nzoka

Member
Nov 22, 2015
94
125
Sasa hapo MaxMalipo wanaiba vipi wakati TRA ndo wanaopata hiyo pesa? Mlaumu the taxman hapo, maxmalipo faida yao ilo pale pale hata "wakizima" mtandao mwezi mzima, hawafaidiki na limbikizo.
Nimesema kuhusu hiyo ten ten au yard hizo za home kwenu?
Imagine mtandao ukikosa siku labda nne hapo uchumi wa mwananchi mimi umeusaidiaje?
 
MasterGamaliel

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
601
1,000
Falling within your faulty field is not costfull, it is the price of faults within ones weighing of decision and criteria of choice adherence!
 
Mr Nzoka

Member
Nov 22, 2015
94
125
Kwa Utaalamu wangu Mdogo na Uelewa; Hapa Tatizo la Msingi ni kwanini Njia za kulipia Hazifanyi kazi, na sio kwanini Maxmalipo au Kwanini TRA.

Pili Mwandishi; Hujaelezea imekuaje kwanini hujaenda Bank, maana wanaopokea malipo haya ni Mabank (CRDB,NMB) ,Mitandao yote ya simu pamoja na Maxmalipo.

Tatu: Kwa Serikali ya hapa Kazi tu sidhani kama kuna sababu nyepesi mtu anaweza kuhujumu Uchumi kama inavyoelezewa hapa Juu... tutafakari kwa umakini

Nne: Hii POST isije ikawa ni ushindani wa wa kibiashara.

Ni mawazo tu
Kaka nimeambiwa na afisa tra kuwa haya malipo hayaruhusiwi kupitia bank wao wamewapa kazi mawakala ambao ni maxmalipo,kumbuka tra ndo wanakutengenezea draft ya deni ili ukalipe pahala husika so km hupewi ya bank unaambiwa uende maxmalpo unafanyeje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom