Haki ya Mungu nimezishangaa sana akili za watanzania!
Yaani maESCROW wote wamerudishwa Bungeni isipokuwa Comrade Kafulila mwibuaji wa sakata hilo ndiyo kapigwa fitina ili asirudi Bungeni ambako mapanya wanakusudia kujitawala sasa! Siyo siri ndiyo maana hata waangalizi wa Uchaguzi wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.