Recent content by Gentleman P

  1. Gentleman P

    Bar zenye taa za rangi ni balaa!

    nimeona mkuu...ntaacha pombe ila kwa msaada wa wife tuuu...so nipo nawinda mchumba
  2. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    mkuu, feminism is weak. ww unaimpose doctrine ya uongo tu. mfano mmoja: mwanamke msomi, graduate, kutoka familia nzuri yenye malezi, mcha mungu...kaj kwenye interview ya kazi inayogombaniwa na wanawake 60...nikimwambia hii kazi nakupa lkn hebu nitibu kidogo hapa dk 2..ATAKATAAA? tuweke unafiki...
  3. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    kwanza, hebu tusiprovokiane...coz mada yangi ingekuwa ni tangazo basi ingekuwa jukwaa la matangazo...angalia thread zangu...huwa nikiwa na mada flani naangalia jukwaa lake. tuheshimiane, huna cha kukoment basi soma halafu piti ivi
  4. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    NDIO MAANA NATAKA KUOA....HUU MWAKA HAUISHI SIJACHUMBIA MTU. na ntampata hapapa jukwaan maana naipenda mno JF.
  5. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    kumkula siku hiyo hiyo sio tattizo...au nini maana ya one night stand? ni pale labda upo safarini mmefika usiku ukakosa gesti halafu upo msafiri mwenzako wa kiume so mkashare room. UMEELEWA? mm huchagua sana, na wapenzi wangu ni classic kabisa hata km tumekutana bar....lazima nihakikishe huyu...
  6. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    whatever mkuu at least it was an adventure. kuna watu tunapenda fujo fujo na heka heka kama ivyo.
  7. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    wewe ulichoandika ume kaa chini, uka edit....mfano hilo neon "Haifa" ....ACHA UPUUZI
  8. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    mkuu, ok basi to be exact: KWANGU HELA YOYOTE CHINI YA ELFU 50 NI CHENJI...upo?
  9. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    tulipokuwa tunakula na kunywa bia tulishikana shikana.....ana kundu hilo ni balaa....halafu mchaga
  10. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    mkuu mm ni great thinker ndo maana nawaza mambo mengi ya kimaendeleo na sipendi hujuma. huo uzi lengo ni mm kuona fursa ya kumake money out of that title. kuna mtu hapa mtaan kwetu akiitwa tu "mwalimu" anakula hela ya mwanafunzi...so
  11. Gentleman P

    Jana usiku nimetumia Laki 2 kwa Bahati mbaya. Demu mwenyewe wala sikumla. Nimeamka na Tsh elfu 3!

    sasa muda wa kunegoiate ningeutoa wapi? niko shemeji yako alafu sipendagi kuuulizia ulizia sana bei" mara ooh...kwann isiwe bei hii?///...mm huwa naingia, au napanda, bei mbele kwa mbele hasa kama nin demu
Back
Top Bottom